Jaman naombeni kufahamu tatizo la kuumwa na mbavu mana huu mwaka wa 15 mbavu zaniuma. Hosptal walinipga Xry hakuna tatizo wakawa wananipa pain killer tu miaka inaenda naumwa bado hiki ni nn cjui
Kiukweli nalala pazuri tu miaka yote kenye godoro japo cwezi kutaja makampun ya magodoro hapa sitangazi biashara. Ila bado tu mbavu zaniuma Prezdaa Shaco
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.