Naombeni kujua je Mwanamke kutoa maziwa ni tatizo au ni kawaida

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,025
Reaction score
4,276
Wakuu Habari za wakati huu

Nina rafiki yangu wa kike mwenye umri wa miaka 26 ambae sio mjamzito wala haja wahi kabisa kushika mimba wala kuzaa mtoto .. cha kushangaza matiti yake yana toa maziwa kitu ambacho sijawahi kukiona hapo awali.. Naombeni kujua je hilo ni tatizo au ni kawaida kwa mwanamke kutoa maziwa angali hajawahi kuzaa au kushika mimba ktk maisha yake...?
Natanguliza shukrani
 
kwa haraka haraka hapo shida itakuwa hormone na akiendelea hivyo itakuja kuwa shida kuja ku conceive nawashauri mkamuone dokta wa wanawake as soon as possible
 
Labda katoa mimba au ana mimba kwa sasa.
 
kwa haraka haraka hapo shida itakuwa hormone na akiendelea hivyo itakuja kuwa shida kuja ku conceive nawashauri mkamuone dokta wa wanawake as soon as possible
Asante ndugu yangu... Ubarikiwe
 
Ni kitu kinawezekana na hata wapo wanaume hukumbwa na hali hiyo ambayo kwa lugha ya kitaalamu hujulikana kama "Galactorrhea"...

Kwa sasa naona uvivu kuandika hivyo kama umombo kwako si tabu hebu soma maelezo haya...

It’s possible for women who have never been pregnant and even men to lactate. This is called galactorrhea, and it can happen for a variety of reasons.

Galactorrhea’s most common symptom is one or both breasts producing excessive milk. The condition is most common in women, but can also happen to men and newborn babies (hutokea sana kwa vichanga vya kike na wakati mwingine husababisha majipu kwa vichanga).

Reasons for lactating when not recently pregnant can range from hormone imbalances to medication side effects to other health conditions.

Kwa maelezo zaidi google hiyo term galactorrhea na fuatilia madhara ya over production ya kichocheo/hormone iitwayo prolactin
 
Una uhakika gani kama hajatoa mimba kabisaa? Sema tu ni wewe unaomba ushaur
 
Back
Top Bottom