jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,025
- 4,276
Wakuu Habari za wakati huu
Nina rafiki yangu wa kike mwenye umri wa miaka 26 ambae sio mjamzito wala haja wahi kabisa kushika mimba wala kuzaa mtoto .. cha kushangaza matiti yake yana toa maziwa kitu ambacho sijawahi kukiona hapo awali.. Naombeni kujua je hilo ni tatizo au ni kawaida kwa mwanamke kutoa maziwa angali hajawahi kuzaa au kushika mimba ktk maisha yake...?
Natanguliza shukrani