Naombeni kujua je Mwanamke kutoa maziwa ni tatizo au ni kawaida

Naombeni kujua je Mwanamke kutoa maziwa ni tatizo au ni kawaida

Duuh ulikuwa unayanyonya nn mkuu uakajukuta unafyonza na maziwa
 
Ni kitu kinawezekana na hata wapo wanaume hukumbwa na hali hiyo ambayo kwa lugha ya kitaalamu hujulikana kama "Galactorrhea"...

Kwa sasa naona uvivu kuandika hivyo kama umombo kwako si tabu hebu soma maelezo haya...

It’s possible for women who have never been pregnant and even men to lactate. This is called galactorrhea, and it can happen for a variety of reasons.

Galactorrhea’s most common symptom is one or both breasts producing excessive milk. The condition is most common in women, but can also happen to men and newborn babies (hutokea sana kwa vichanga vya kike na wakati mwingine husababisha majipu kwa vichanga).

Reasons for lactating when not recently pregnant can range from hormone imbalances to medication side effects to other health conditions.

Kwa maelezo zaidi google hiyo term galactorrhea na fuatilia madhara ya over production ya kichocheo/hormone iitwayo prolactin
Asante sana ndugu yangu
 
It aint bout trustin nobody....

It's whether you have medical facts or nuh...

Hizi reasons nyingine sijui unawajua wanawake vizuri and blah blah...zinafaa kwa topic nyingine si hii
Sijakulazimisha uamini ila 98% kafanya hivyo
 
Nina mpenzi wangu, anatatizo hili pia.
HAJAWAHI KUWA NA MIMBA, WALA KUTOA MIMBA.
 
Wakuu Habari za wakati huu

Nina rafiki yangu wa kike mwenye umri wa miaka 26 ambae sio mjamzito wala haja wahi kabisa kushika mimba wala kuzaa mtoto .. cha kushangaza matiti yake yana toa maziwa kitu ambacho sijawahi kukiona hapo awali.. Naombeni kujua je hilo ni tatizo au ni kawaida kwa mwanamke kutoa maziwa angali hajawahi kuzaa au kushika mimba ktk maisha yake...?
Natanguliza shukrani
Uyo akaone docta
 
Basi umeshinda mshauri mlengwa apone
It aint bout trustin nobody....

It's whether you have medical facts or nuh...

Hizi reasons nyingine sijui unawajua wanawake vizuri and blah blah...zinafaa kwa topic nyingine si hii
 
Wakuu Habari za wakati huu

Nina rafiki yangu wa kike mwenye umri wa miaka 26 ambae sio mjamzito wala haja wahi kabisa kushika mimba wala kuzaa mtoto .. cha kushangaza matiti yake yana toa maziwa kitu ambacho sijawahi kukiona hapo awali.. Naombeni kujua je hilo ni tatizo au ni kawaida kwa mwanamke kutoa maziwa angali hajawahi kuzaa au kushika mimba ktk maisha yake...?
Natanguliza shukrani
Nijuavyo mimi huyo aliwahi toa mimba na haiwezi kumtokea binti kamwe au ambaye hajawahi kuingia kwenye uzazi.Over.
 
Back
Top Bottom