Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Naam nadhani ni yeye naomba jina lake.Aliyeimba sumu ya teja
Sawa asante.Anaitwa Bambo...
[emoji15] [emoji134] [emoji61]Anaitwa Bambo...
Asante sana nimepata nyimbo zake mkuu nashukuru, Ni Bonge moja la msanii.Vitalis Maembe aliimba wimbo wa sumu ya teja. Anaishi Bagamoyo ana mke na watoto wawili wote wanafuata nyao za baba yao. Una lingine?
Shukrani sana mkuu.Vitalis maembe Ndio jina lake mkuu
Tatizo lako unatambua kuwa unachoambiwa ni cha kukutusi ila hutaki kukubali ukweli kuwa wewe ni moja kati ya wajinga wakuu humu.Nonsense as usual!
Naam mkuu! Nimepata nyimbo zake nasikiliza taratibu nikielekea Shambani.Vitalis Maembe
Naam mkuu nimepata jina na nyimbo zake, shukrani sana.Mwanaharakati
Vitali Maembe