Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Nimekuwa nikitamani kumjua kwa jina ili nipate kupakua wimbo mmoja huwa napenda kuusikia kwenye Super Mix ya Ea Radio, sijui jina la wimbo ila nadhani unaitwa Vuma.
Kacheza kionjo kwenye kipindi cha Morning Trumpet Azam Tv.
Nitashukuru.
Kacheza kionjo kwenye kipindi cha Morning Trumpet Azam Tv.
Nitashukuru.