Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 773
- 1,355
Ahsante mkuuKaribu ujipatie maarifa
Sheria za KIPUMBAVU hizo kusaidia CCM na genge lake ili wafanye watakavyo, achana nazo Mkuu.Soma kuanzia ukurasa wa 44
Mtapata taabu sanaSheria za KIPUMBAVU hizo kusaidia CCM na genge lake ili wafanye watakavyo, achana nazo Mkuu.
Endelea kuperuzi mkuu, mengine baadae!!Wakuu habari zenu naiman mko wazima, nilikuwa naomba kujua kwa Tanzania ni kosa kisheria kutumia vpn maana nimeona ili swala likizungumziwa kidogo na uku mtaan watu kutishana kwa wale wanaotumia (VPN).
Ni hayo tu, naamin umu kuna wajuzi wa mambo nitapataje.
Samahanini kwa uwandishi wangu m bovu.
Inaitwaje kwa Kishwahili nisearch?VPN ni English. Wao wameandika kwa Kiswahili
Ujanjaujanja Wa Uchaguzi Umeleta Yote Haya UFO VPN BasicYaani hujaona sehemu waliyosema kuwa kufungua kwa namna yoyote ile mawasiliano yaliyofungwa ni kosa?
Yeye atajuaje mawasiliano yamefungwa na Serikali? Kea maana Serikali Haijatangaza Kwenye Gazeti lake au popote kufunga mtandao. Maana Serikali inafahamu kufunga Mtandao Ni Kinyume Cha Haki za Binadamu.Yaani hujaona sehemu waliyosema kuwa kufungua kwa namna yoyote ile mawasiliano yaliyofungwa ni kosa?
Mkuu hebu soma hapa chini uelewe nilichosimamiaEndelea kujidanganya na kujifariji!View attachment 1616987
Hamna popote palipoandikwa VPN kwenye hiyo document.
Umehamisha mada.Aliekuambia kuwa serekali za kidikteta zina mifumo maalum ya kuendesha serekali ni nani?Unaelewa kuwa serekali za kidikteta hazina mifumo maalum wala mifumo ya kisheria ya kuendesha serekali kama hiyo unayosema kutangaza kwenye gazeti la serekali?
Kina nani?Mtapata taabu sana
Hii ipoje kwani? Wameachia internet kivipi?Achana UFO VPN Basic
Wameachia Internet Sasa Hivi Unatumia Kama Zamani