B Babati Yetu JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 369 Reaction score 116 Jun 3, 2015 #21 Mgumu04 said: ukienda msalimie sana chungu kinyogori father babu gio bambucha nk Click to expand... Hawa mpaka leo wako Minaki? Daaahh tokea 2006 niliwaacha pale kwa kweli ni Shida sana Nawakumbuka wengi ila moja anaitwa Sogoi ni shidaahh kweli.
Mgumu04 said: ukienda msalimie sana chungu kinyogori father babu gio bambucha nk Click to expand... Hawa mpaka leo wako Minaki? Daaahh tokea 2006 niliwaacha pale kwa kweli ni Shida sana Nawakumbuka wengi ila moja anaitwa Sogoi ni shidaahh kweli.
B Babati Yetu JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 369 Reaction score 116 Jun 3, 2015 #22 Minaki ni pazuri sana kama una jitihada binafsi ila Maji ni shida sana na yana fangas hivyo deto muhimu kwako kwa usalama wako.
Minaki ni pazuri sana kama una jitihada binafsi ila Maji ni shida sana na yana fangas hivyo deto muhimu kwako kwa usalama wako.