Naombeni kujua mambo kuhusu Minaki High School

Naombeni kujua mambo kuhusu Minaki High School

ukienda msalimie sana chungu kinyogori father babu gio bambucha nk

Hawa mpaka leo wako Minaki? Daaahh tokea 2006 niliwaacha pale kwa kweli ni Shida sana
Nawakumbuka wengi ila moja anaitwa Sogoi ni shidaahh kweli.
 
Minaki ni pazuri sana kama una jitihada binafsi ila Maji ni shida sana na yana fangas hivyo deto muhimu kwako kwa usalama wako.
 
Back
Top Bottom