Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kujua mambo gani?
form five kuanzia A mpaka X
hilo la kwanza
Nisaidieni jamani maana nimechaguliwa huko form five
Naomben no ya mkuu apo minaki,nataka nije
daaah na wewe umechaguliwa minaki?
Nop nataka fanya mpango wa kuamia b4er post cz ckuiweka kwenye list
Kitu gani kilichokufanya utake kuhamia Mkuu?