Naombeni kujua ni kozi zipi zenye uwezekano mkubwa wa kupata mkopo

Naombeni kujua ni kozi zipi zenye uwezekano mkubwa wa kupata mkopo

Undeceteris

Member
Joined
May 15, 2021
Posts
47
Reaction score
29
Naombeni kujua ni kozi zipi zenye uwezekano mkubwa wa kupata mkopo kwa uhakika, mimi nmeomba economics and agribusiness, vipi nikibahatika kudahiliwa, nitaweza pata mkopo kwa uhakika?
 
Naombeni kujua in koz zpi zenye uwezekan mkubwa wa kupata mkopo kwa uhakika,mm nmeomba economics and agribusiness,vp nkibahatika kudahiliw nitawez pat mkop kwa uhakika?
Hamna sehemu wameandika mkopo ni uhakika...mkopo ni bahati mkuu
 
Uwe umesoma government from primary to advance, and kasome ualimu, yaani fastaaaa
 
Ukiwa yatima bila kujali kozi, utapata zote..
 
Naombeni kujua ni kozi zipi zenye uwezekano mkubwa wa kupata mkopo kwa uhakika, mimi nmeomba economics and agribusiness, vipi nikibahatika kudahiliwa, nitaweza pata mkopo kwa uhakika?
Kama una kauwezo hata kadogo ka kujisomesha kaa mbali na mkopo.. narudia tena kaa mbali na mkopo...
 
Back
Top Bottom