Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
177
Reaction score
256
Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science na ni maeneo gani tofauti wahitimu wa kozi hiyo wanaweza kuajiliwa na ni ipi bora kwa ajira

Naombeni mawazo ya kistaarabu wakuu na mbarikiwe🙏🙏
 
B Ed wanajifunza zaidi methodologies za ualimu na wanetarget vyuo vya kati.

BAED hawa ni walimu wa secondary au msingi whatever na wanajikiti zaidi kwenye masomo watakayofundisha baada ya kuhitimu

Nb mimi sio mwalimu ,mimini mkulima wa ngano nimeongea kwa upeo wangu
 
Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science na ni maeneo gani tofauti wahitimu wa kozi hiyo wanaweza kuajiliwa na ni ipi bora kwa ajira

Naombeni mawazo ya kistaarabu wakuu na mbarikiwe🙏🙏
1. Bachelor of sciences with education = Wasomi-Wanasayansi lakini wamejiongezea pia taaluma ya namna ya kuifundisha Taaluma hiyo kwa wengine. Sio lazima waajiriwe kama waalimu. Wanaweza kuajiriwa maeneo mengi sana kuanzia Jeshini, Maabara/Hospitali, Viwandani n.k.

2. Bachelor of education in science = Waalimu wa masomo ya Sayansi mashuleni. Hao huajiriwa kama Waalimu per se kufundisha wanafunzi darasani.
 
Shukran kaka, kwa maelezo zaidi
 
Lwaiyo bola ipi kaka
 
Lwaiyo bola ipi kaka
Ninatoa ushauri tu lakini mwisho wa siku lenga ile kozi itakayokufikisha kwenye ndoto zako. Ningekuwa ni mimi ningelisoma B.Sc. with education kwani kwa kozi hiyo bado ninaweza kuajiriwa kama mwalimu au kwingineko.
Hiyo B. E. in Science wigo wake (Uwanja wa kucheza) ni mfinyu sana i.e. wewe ni kazi ya ualimu tuu iwe shule za sekondari, vyuo vya kati e.g. VETA, Vyuo vya Maendeleo ya Jamii n.k. yan hutoachana na chaki.
 
1.A-Bachelor ya sayansi na ualimu =Bsc with ED(unasoma vitu viwili 1.sayansi kama ni chemistry na biology plus 2.ualimu.

B-Bachelor of ed in science(unasoma ualimu wa sayansi deep )
Maeneo tofauti wanaweza kuajiriwa
Kuna watu nawafahamu walisoma Bsc with ed baadae walikuja kusoma upya tena degree nyingine tofauti za afya kama maabara,udaktari,kuna wengine walisoma mambo ya petroleum wapo tume ya madini.
Ila mwisho wa siku iliwalazimu kuanza upya kusoma first degree nyingine.
Kwa ambao hawakutaka kuanza upya first degree nyingine hakukua na tofauti wengi wao BSC with ED na Bsc in ed WALIAJIRIWA KAMA WALIMU WA SEKONDARI.
 
Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science na ni maeneo gani tofauti wahitimu wa kozi hiyo wanaweza kuajiliwa na ni ipi bora kwa ajira

Naombeni mawazo ya kistaarabu wakuu na mbarikiwe🙏🙏
Nnajibu moja;
1. Iliyo bora ni science with education.
Hii ni kutokana na uhitaji mkubwa wa walimu wa science.
Bila shaka masomo yake ni Bios na Chem.
 
Back
Top Bottom