1. Bachelor of sciences with education = Wasomi-Wanasayansi lakini wamejiongezea pia taaluma ya namna ya kuifundisha Taaluma hiyo kwa wengine. Sio lazima waajiriwe kama waalimu. Wanaweza kuajiriwa maeneo mengi sana kuanzia Jeshini, Maabara/Hospitali, Viwandani n.k.Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science na ni maeneo gani tofauti wahitimu wa kozi hiyo wanaweza kuajiliwa na ni ipi bora kwa ajira
Naombeni mawazo ya kistaarabu wakuu na mbarikiwe🙏🙏
Shukran kaka, kwa maelezo zaidi1. Bachelor of sciences with education = Wasomi-Wanasayansi lakini wamejiongezea pia taaluma ya namna ya kuifundisha Taaluma hiyo kwa wengine. Sio lazima waajiriwe kama waalimu. Wanaweza kuajiriwa maeneo mengi sana kuanzia Jeshini, Maabara/Hospitali, Viwandani n.k.
2. Bachelor of education in science = Waalimu wa masomo ya Sayansi mashuleni. Hao huajiriwa kama Waalimu per se kufundisha wanafunzi darasani.
Lwaiyo bola ipi kaka1. Bachelor of sciences with education = Wasomi-Wanasayansi lakini wamejiongezea pia taaluma ya namna ya kuifundisha Taaluma hiyo kwa wengine. Sio lazima waajiriwe kama waalimu. Wanaweza kuajiriwa maeneo mengi sana kuanzia Jeshini, Maabara/Hospitali, Viwandani n.k.
2. Bachelor of education in science = Waalimu wa masomo ya Sayansi mashuleni. Hao huajiriwa kama Waalimu per se kufundisha wanafunzi darasani.
Ninatoa ushauri tu lakini mwisho wa siku lenga ile kozi itakayokufikisha kwenye ndoto zako. Ningekuwa ni mimi ningelisoma B.Sc. with education kwani kwa kozi hiyo bado ninaweza kuajiriwa kama mwalimu au kwingineko.Lwaiyo bola ipi kaka
Nnajibu moja;Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science na ni maeneo gani tofauti wahitimu wa kozi hiyo wanaweza kuajiliwa na ni ipi bora kwa ajira
Naombeni mawazo ya kistaarabu wakuu na mbarikiwe🙏🙏