matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Rejea kichwa cha habati hapo juu.
Baada ya kuona upotoshaji unaongezeka na watu wakizidi kudanganywa. Mwenyezi Mungu amenielekeza kufungua radio na baadae TV ambayo itasambaa dunia nzima kwa lugha zote kutokea Tanzania.
Hapa nitakuwa nafundisha neno tu, hakuna ujanjaujanja wala upigaji wala maigizo ya miujiza. Lengo ni kuwaconnect watu na Mungu sio na mimi ili wabarikiwe hapa duniani kimungu na waende mbinguni baadae.
Naombeni mawazo na ushauri.
Kwa haraka nataka kuanza na Radio inayoshika kuanzia ukubwa wa eneo la wilaya.
Sina wasiwasi na gharama maana Mungu hawezi kukupa wazo asikupe na vyanzo vya kutekelezea.
Karibuni kwa mawazo zaidi. Maana naamini Mungu huwa anawapa watu ideas kwa ajili ya watu wake.
Mfano Yethro kwa Musa.