Pre GE2025 Naombeni kujulishwa kifungu kinachomruhusu Rais Samia kugombea Urais 2025

Pre GE2025 Naombeni kujulishwa kifungu kinachomruhusu Rais Samia kugombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bapalidako

Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
79
Reaction score
166
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.

Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo.

Sasa hiki kipengele cha kumruhusu Samia kugombea tena muhula mwingine kakitoa wapi?
 
Iko hivi ni kweli katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki

Swami langu,kama Magufuru angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhura wake wa mwisho, inamaana hata rifti aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo, Sasa hiki kipengere cha kumrusu Samia kugombea tena muhura mwingine kakitoa wapi?
Umesoma katiba lakini? Samia anaruhusiwa na Katiba na hii ndiyo mara yake ya mwisho, 2030 hataruhusiwa!
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu na Kabudi mwende mkapekue pekue kwenye katiba yetu muone kama mama yenu nitagombea tena urais.

Hata mimi mama yenu sijui kama katiba yetu inaniruhusu kugombea tena au la, kwahiyo nawaagiza mwende MKALITAZAME kwa makini.

Na suala JENGINE, hakikisheni tunawabinya wapinzani ndani na nje ya chama kabla hawajafurukuta na kuanza kuleta "vijichoko choko".

Nimewaagiza kwa sababu nawaamini. Kabudi umekuwa kwenye Tume ya makinikia kwa muda mrefu kwahiyo nina imani na uzoefu wako. Mdogo wangu kamanda siro na wewe pia tunakutegemea kwenye "ulinzi shirikishi".

Tanzania ni yetu sote, sio yangu samia peke yangu. Tanzania oyeee!! Tanzania safiii!!

HAKIKISHENI MAMA YENU NASHINDA KWA KISHINDO CHA TEMBO.

MKINIKUNA NITAWAKUNA.

Cc: Lamomy Poor Brain mshamba_mwingine Extrovert NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo min -me
 
Mtoa mada anahitaji "Article" kwenye katiba, jibu swali
It's a simple CIVICS.

#YNWA
Katiba haijaainisha hilo suala kwamba kama ikitokea kama ilivyotokea inatakiwa iwe hivi au vile. !

Ndio maana yeye atagombea kama mgombea aliyeteuliwa na Chama chake kupitia katiba yao na kanuni zao za Chama ! Full stop 🛑

Katiba iliyopo inataka mgombea awe ni aliyeteuliwa na Chama cha siasa kugombea URais !

Ikichunguzwa sana hii Katiba inaweza ikamruhusu kama atashinda Uchaguzi 2025 basi na 2030 anaweza akagombea kipindi cha pili cha miaka mitano !

Hii awamu ya sita ni ya dharura tu iliyotokea 😳🙄 !
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
 
Inamaana huko CCM hakuna wanaume wenye uwezo wa kugombea mpaka wamuachie huyu mama atuongoze tena kwa miaka 5,naamini Kama uchaguzi utakuwa wa Uhuru na haki hatoboi
 
Back
Top Bottom