Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Ningependa kujuzwa kwa mwenye taarifa za member mwenzetu mama sabrina atujuze anaendeleaje maana kuna mtu nilimsikia akisema alikuwa akiumwa sana na jino na hali yake ilikuwa mbaya sana mpaka kulazwa ila ghafla naona kimya kimetanda! Kwa mwenye taarifa zake naombeni mtujuze anaendeleaje?