mgonjamichael
Member
- Oct 31, 2015
- 66
- 15
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, mara nyingi kwa mtu mwenye ngozi yenye mafuta haitaji kupaka mafuta usoni labda kama unaishi sehemu yenye baridi au upepo mkali, jaribu kutumia VASELINE BODY LOTION (ile ya kijani yenye aloe Vera) mimi ilinisaidia ndio natumia mpaka leoUso tu
AhsanteOkay, mara nyingi kwa mtu mwenye ngozi yenye mafuta haitaji kupaka mafuta usoni labda kama unaishi sehemu yenye baridi au upepo mkali, jaribu kutumia VASELINE BODY LOTION (ile ya kijani yenye aloe Vera) mimi ilinisaidia ndio natumia mpaka leo
sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
Am a skin care expertAhsante
MwanaumeAm a skin care expert
Naomba kujua kama ni mwanaume au mwanamke, ngozi ya mafuta si tatizo tatizo ni reaction unayopata ukitumia bidhaa isiyofaa kwa ngozi yako
Tuliobarikiwa ngozi ya mafuta tunachelewa kutokwa na makunyanzi usoni ni advantage hio usiyapunguze
Naomba kufahamu, mafuta unayozungumzia ni kwa ajili ya mwili mzima au usoni tu? Ukinipa jibu nitajua cha kushauri
sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
Ina mafuta mengisome how ila pia kuna lotion ingine inaitwa natural honey revlon ni nzuri sana pia
Unapaka hata usoni?
Yah hata usoni haina shidaUnapaka hata usoni?