Naombeni kujuzwa Mafuta mazuri kwa ngozi yenye Mafuta

Okay, mara nyingi kwa mtu mwenye ngozi yenye mafuta haitaji kupaka mafuta usoni labda kama unaishi sehemu yenye baridi au upepo mkali, jaribu kutumia VASELINE BODY LOTION (ile ya kijani yenye aloe Vera) mimi ilinisaidia ndio natumia mpaka leo

sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
 
Ahsante
 
Am a skin care expert
Naomba kujua kama ni mwanaume au mwanamke, ngozi ya mafuta si tatizo tatizo ni reaction unayopata ukitumia bidhaa isiyofaa kwa ngozi yako
Tuliobarikiwa ngozi ya mafuta tunachelewa kutokwa na makunyanzi usoni ni advantage hio usiyapunguze
 
Mwanaume
 
Ngozi yako inamafuta mengi?wewe tayari umeshatoka mwenzetu..
Ebu mtafute rais wa Uganda M7 ili mfanye biashara kupitio Ohima mpaka Tanga...
 
Ngozi yako inamafuta mengi?wewe tayari umeshatoka mwenzetu..
Ebu mtafute rais wa Uganda M7 ili mfanye biashara kupitio Ohima mpaka Tanga...
Hahaha HAAAAAAAAAAAAAAAA ndio mpango wangu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…