Naombeni kujuzwa nauli ya kwenda kenya na guest house gharama zipoje

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,818
habari zenu wakuu,

Kuna watu wapo humu wameshafika kenya au hata wapo huko mpaka sasa. naombeni mnijuze nauli ya kutoka Dar-es-salam kwenda kenya na gharama za guest house zipoje nawasilisha.
 
Ungesema unaenda Kenya sehemu gani ili upewe ushauri mzuri.
 
Ungesema unaenda Kenya sehemu gani ili upewe ushauri mzuri.
Ni sawa na mtu aulize bei za hoteli za Tanzania bila kusema anakwenda mji gani? Pia aeleze anataka kujua bei za hoteli zenye viwango gani?
 
Kenya kubwa ww..! Unataka kwenda town au kwny mashamba ya chai..
 
Mimi nilienda Nairobi mwaka juzi nauli ilikuwa ni tsh 70,000 Dar express
Na kuhusu guest ni wewe tu mfuko wako
 
Mimi nilienda Nairobi mwaka juzi nauli ilikuwa ni tsh 70,000 Dar express
Na kuhusu guest ni wewe tu mfuko wako
Aende mtaa wa Koinange (Nairobi) guest bei kama za hapo kambi ya fisi Dar!
Unafikiriaje kwenda nchi za watu wakati hata nauli ya gari hujui ni kiasi gani? Huyu jamaa hana lolote, porojo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…