Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa na mtu aulize bei za hoteli za Tanzania bila kusema anakwenda mji gani? Pia aeleze anataka kujua bei za hoteli zenye viwango gani?Ungesema unaenda Kenya sehemu gani ili upewe ushauri mzuri.
Kweli kabisa.Ni sawa na mtu aulize bei za hoteli za Tanzania bila kusema anakwenda mji gani? Pia aeleze anataka kujua bei za hoteli zenye viwango gani?
Aende mtaa wa Koinange (Nairobi) guest bei kama za hapo kambi ya fisi Dar!Mimi nilienda Nairobi mwaka juzi nauli ilikuwa ni tsh 70,000 Dar express
Na kuhusu guest ni wewe tu mfuko wako