Kama unataka kushika mimba fanya tendo la ndoa siku ya kumi na moja na kumi na saba baada ya kumaliza hedhi.Yaani hesabu siku kumi kutoka siku ya kwanza ya hedhi then kuanzia kumi na moja mpaka kumi na saba kama uko normal ngoma inadinda.Nataka kushika mimba
Habarini za mchana ndugu nahisi mu wazima wa afya wapendwa naombeni mnijuze siku ya hatari ya kushika ujauzito.
Nimeanza kupata period kwa mwezi huu wa 12 (tarehe2-6)ndo namaliza naombeni mnifahamishe siku zangu za hatari za kushika ujauzito zitakuwa ni tareh ngapi.
Nawasilisha[emoji120]
Kumbee!! Nina kitabu kuhusu hilo uje ukichukue kitakusaidia.Mim mkubwa mwenzio[emoji85] [emoji85]
Asante ndugKuna njia kama tatu hivi jinsi ya kubaini siku za hatari. Moja kitalaamu unashauliwa kujua joto la mwili wako kwa kupima joto la mwili wako mfano baada ya kumaliza hedhi unatakiwa kuanza kupima joto na kipima joto (thermometer) walau mara 2 kwa siku kila siku na uwe unarekodi kwenye daftari au kwenye karatasi kwa muda wote ambao haupo kwenye hedhi (siku zako) na hapo utabaini tu katika siku ulizo jipima na kuona joto la mwili wako lipo juu kuliko siku zingine ulizo jipima ujue hiyo au hizo ndo siku zako za kushika au kupata mimba au kama mwenyewe ulivyo ziita ni siku za hatari. Njia ya pili ni ile toka unapo maliza mzuunguko wako hedhi (umalizapo siku zako) siku ambayo au siku ambazo mwili wako utajihisi kuwa unahamu ya kufanya tendo la ndoa kuliko siyo yoyote ambayo au ambazo haupo kwenye hedhi ujue basi hiyo ndo siku ama siku ambazo za hatari kwako kupata mimba. Tatu na mwisho ni pale umalizapo hedhi siku ambayo au ambazo utaona kuna ute ute mwingi unatoka kwenye sehemu zako za siri za uzazi ujue ndo siku zako za kushika mimba au hatari.
Poa poaAsante ndug
Na hapo pagumu maan mimi siku zangu zinabadilika badilika sasa. Sijui nitajuaje nifundishe kuzihesabu kama hutojaliZiana inategemeana na mzunguko wako ni wa siku ngapi. Kama mzunguko wako ni wa siku 28 (majority) basi siku ya kupata mimba ni ya 14 tangu ulipopata hedhi
Kwa mfano ukiona damu tarehe 3 siku hiyo ndo siku ya kwanza, haijalishi zitakata lini utaendelea kuhesabu hadi utakapopata damu ya mwezi mwingine huo ndo utakuwa ukomo wa mzunguko wakoNa hapo pagumu maan mimi siku zangu zinabadilika badilika sasa. Sijui nitajuaje nifundishe kuzihesabu kama hutojali
Hebu nipm nikujuze kiundani zaidi maana unaonekana unashida na mimbaHabarini za mchana ndugu nahisi mu wazima wa afya
wapendwa naombeni mnijuze siku ya hatari ya kushika ujauzito.
Nimeanza kupata period kwa mwezi huu wa 12 (tarehe2-6) ndo namaliza naombeni mnifahamishe siku zangu za hatari za kushika ujauzito zitakuwa ni tarehe ngapi.
Nawasilisha[emoji120]
Umeolewa au ni njia ya kumshawishi akuoe au umri umeenda!Nataka kushika mimba