Naombeni kukaribishwa jukwaani

roselyn2

Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
86
Reaction score
388
Natumai nyote mu wazima [emoji3]

Nimevutiwa sana na mtandao huu pendwa wa jamii forums, leo nimeamua kujiunga na chama rasmi. Naombeni kukaribishwa na kupokelewa kama mwanachama hai, natumai sintowaangusha[emoji39][emoji39]

Napenda sana na nnavutiwa na jukwaa la jokes na MMU, Nina mengi ya kuwaeleza[emoji1786][emoji1786]

Utaratibu uko vipi humu ndani?

Nawapenda nyote[emoji3059][emoji3059][emoji3059]

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hio minofu kwenye DP ni yako?

Anyways... karibu JF
 
Karibu sana jukwaa la Wakubwa hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…