hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Asante sana mkuuJack Daniel
Mimi na Boss wangu
Uishi milele mkuuLOVE STORY: That Guy
Note; hii Ni story ya kweli kabisa imemkuta one of my close friends, nilimuomba kuipost kwa ahadi ya kuficha utambulisho wake na ameruhusu, kuna la kujifunza hapa. Twende kazi. Naitwa Bella (sio jina halisi), nikiri kua muumba amenipendelea sana, ni mzuri wa umbo na sura na pia nimetoka familia...www.jamiiforums.com
Pia tusogezeeni link ya kula tunda kimasihara wa rikiboyWakuu
Tofauti na mitandao mingine ya kijamii nimeweza kujifunza mambo kupitia story za kweli humu JF, kama story za
BM X6
INSIDER MAN
LWANDA MAGERE
Analyse
UMUGHAKA13
Lakini naamini JF ni mtandao mkongwe sana tangu 2006, lazima kuna story nyingi zaidi ya hizi, bahati mbaya search engine ya JF haikuletei kile unaserch exactly hivyo naona njia nzuri ya kuzipata ni mnisaidie link.
Asanteni
JUST NANA , Soma story zake hutojutiaPia tusogezeeni link ya kula tunda kimasihara wa rikiboy
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Nimeisoma chap nimeshaimalizaLOVE STORY: That Guy
Note; hii Ni story ya kweli kabisa imemkuta one of my close friends, nilimuomba kuipost kwa ahadi ya kuficha utambulisho wake na ameruhusu, kuna la kujifunza hapa. Twende kazi. Naitwa Bella (sio jina halisi), nikiri kua muumba amenipendelea sana, ni mzuri wa umbo na sura na pia nimetoka familia...www.jamiiforums.com
kuna moja ndefu inaitwa biashara ya uberNimeisoma chap nimeshaimaliza
Nipo nayo sambambakuna moja ndefu inaitwa biashara ya uber
Naomba unitagi huuu uzi maana nimeutafutaa sijauonakuna moja ndefu inaitwa biashara ya uber