Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 331 Oct 25, 2011 #1 Kufa kisabuni, kufa kiume Kujikaza kiume
Nkosi Member Joined Sep 8, 2011 Posts 53 Reaction score 10 Oct 25, 2011 #2 Rubi said: Kufa kisabuni, kufa kiume Kujikaza kiume Click to expand... Maneno yote yana maana moja, kwamba uwe mvumilivu katika wakati mgumu. Ni lugha ya kumtia moyo mtu anapokuwa katika hard time.
Rubi said: Kufa kisabuni, kufa kiume Kujikaza kiume Click to expand... Maneno yote yana maana moja, kwamba uwe mvumilivu katika wakati mgumu. Ni lugha ya kumtia moyo mtu anapokuwa katika hard time.
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,298 Oct 25, 2011 #3 Kufa kisabuni inamanisha kufa kama inavyokufa sabuni. Bado inaendelea kuwa ngumu lakini inakufa kidogo kidogo with no complains
Kufa kisabuni inamanisha kufa kama inavyokufa sabuni. Bado inaendelea kuwa ngumu lakini inakufa kidogo kidogo with no complains
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Oct 25, 2011 #4 Rubi said: Kufa kisabuni, kufa kiume Kujikaza kiume Click to expand... Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho
Rubi said: Kufa kisabuni, kufa kiume Kujikaza kiume Click to expand... Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 532 Oct 25, 2011 #5 mikela said: Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho Click to expand... ebwanaaeee?
mikela said: Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho Click to expand... ebwanaaeee?
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 331 Oct 25, 2011 Thread starter #6 mikela said: Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho Click to expand... aha kweli siyo kila aitaye bwana bwana uatauona ufalme wa mbinguni.
mikela said: Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho Click to expand... aha kweli siyo kila aitaye bwana bwana uatauona ufalme wa mbinguni.
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,169 Oct 26, 2011 #7 Kufa kisabuni= Die soaply Kufa kiume= Die manly Kujikaza kiume= FU*CK youself manly.