NAOMBENI MAANA/tofauti YA MANENO HAYA--------------

NAOMBENI MAANA/tofauti YA MANENO HAYA--------------

Rubi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,615
Reaction score
331
Kufa kisabuni,
kufa kiume
Kujikaza kiume
 
Kufa kisabuni,
kufa kiume
Kujikaza kiume

Maneno yote yana maana moja, kwamba uwe mvumilivu katika wakati mgumu. Ni lugha ya kumtia moyo mtu anapokuwa katika hard time.
 
Kufa kisabuni inamanisha kufa kama inavyokufa sabuni. Bado inaendelea kuwa ngumu lakini inakufa kidogo kidogo with no complains
 
Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu
kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti
Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho
aha kweli siyo kila aitaye bwana bwana uatauona ufalme wa mbinguni.
 
Kufa kisabuni= Die soaply
Kufa kiume= Die manly
Kujikaza kiume= FU*CK youself manly.
 
Back
Top Bottom