P Point of No Return 19 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2023 Posts 203 Reaction score 472 Nov 18, 2023 #1 Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,274 Reaction score 6,257 Nov 18, 2023 #2 Njoo pm hizo line utapata kwa majina yako ....
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,399 Reaction score 3,666 Nov 18, 2023 #3 Tin kuipata bure halafu sikuhizi wajanja wanatumia lipa namba kufanya hizo huduma njoo pm na maji ya kunywa LIPA NAMBA nitakusaidia bure pia
Tin kuipata bure halafu sikuhizi wajanja wanatumia lipa namba kufanya hizo huduma njoo pm na maji ya kunywa LIPA NAMBA nitakusaidia bure pia
mtoto1980 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 534 Reaction score 525 Nov 19, 2023 #4 Aggyaggy19 said: Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel Click to expand... TIN NI BURE INATOLEWA TRA. LESENI NI KWA AFISA BIASHARA WA ENEO UKIPATA HIVYO NENDA KWENYE OFISI ZA MITANDAO HUSIKA UTAPATIWA LINE.
Aggyaggy19 said: Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel Click to expand... TIN NI BURE INATOLEWA TRA. LESENI NI KWA AFISA BIASHARA WA ENEO UKIPATA HIVYO NENDA KWENYE OFISI ZA MITANDAO HUSIKA UTAPATIWA LINE.
THE HARD WORKER JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 231 Reaction score 338 Nov 20, 2023 #5 D Metakelfin said: Tin kuipata bure halafu sikuhizi wajanja wanatumia lipa namba kufanya hizo huduma njoo pm na maji ya kunywa LIPA NAMBA nitakusaidia bure pia Click to expand... Wamegundua na kuongeza makato kwenye lipa number labda kama kuna unanja mwingne wanafanya
D Metakelfin said: Tin kuipata bure halafu sikuhizi wajanja wanatumia lipa namba kufanya hizo huduma njoo pm na maji ya kunywa LIPA NAMBA nitakusaidia bure pia Click to expand... Wamegundua na kuongeza makato kwenye lipa number labda kama kuna unanja mwingne wanafanya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 21, 2023 #6 Ngoja waje kukupa muongozo...
msondomba JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,895 Reaction score 2,410 Nov 21, 2023 #7 D Metakelfin said: Tin kuipata bure halafu sikuhizi wajanja wanatumia lipa namba kufanya hizo huduma njoo pm na maji ya kunywa LIPA NAMBA nitakusaidia bure pia Click to expand... sasa Lipa namba mteja akitaka huduma ya kutuma ela, au umetumiwa ela kwa msg utatumiaje Lipa namba.
D Metakelfin said: Tin kuipata bure halafu sikuhizi wajanja wanatumia lipa namba kufanya hizo huduma njoo pm na maji ya kunywa LIPA NAMBA nitakusaidia bure pia Click to expand... sasa Lipa namba mteja akitaka huduma ya kutuma ela, au umetumiwa ela kwa msg utatumiaje Lipa namba.