Naombeni Maoni yenu Mitazamo yenu Juu ya hili Swala la Kuoa

Tunataka vyote
 
Haikuwepo na ulazma kuanza KWA kusema chanjo si salama...maana unachozngumz n tofaut na chanjo
 
Babaako alikuwa tajiri alipomwooa mama yako wewe kama unakazi inayoeleweka meaning kupokea mshahara mwisho wa mwezi na umeshafanya kwa muda nakabiashara kadogo tu kaziada ili ukikwama ujue unaishije na vimishevimishe na vidili vya hapa na pale hela ni muhimu ila mpaka uwe nazo 40 -45 sasa oa usiogope maana watoto wawili ni sawa tu.
 
Ukipata anayejielewa, Ukiwa na geto na godoro mnaanza maisha. Ila usioe kilaza watoto wako wasijekuwa wa pili kutoka mwisho.
Hili swala huwa nalipa sana kipaumbele japo sijawahi kuwa na uhakika kama, mimi nina akili za kawaida(za kuweza kuwa na degree/masters,,,,,,,,,,,,,,,) nikimuoa mtu wa aina yangu tunaweza kuzaa watoto wa aina yetu??
 
Mm siamin sana, studies nyingi hazionyeshi kwamba ukioa mtu mwenye akili kwamba na wayoto wana akili

Unakuta familia moja mmoja ana akili sana mwingine hata ya kawaida hana

Watoto ni malezi tu
 
Ukipata anayejielewa, Ukiwa na geto na godoro mnaanza maisha. Ila usioe kilaza watoto wako wasijekuwa wa pili kutoka mwisho.
mwanamke kilaza yupoje? au unamaanisha mwanamke ambae hajaenda shule ndo kilaza? mana tunaona zamani wanawake walikua hawaendi shule na hata wakienda wakimaliza la saba wanaozeshwa na mwisho wa siku ndo hao hao waliotuzalia wanasanyansi wakubwa na marais wa nchi.

nauliza tena mwanamke kilaza yupoje?
ambae hajaenda shule?
ambae hana degree?
ambae hajui kusoma na kuandika?

ni yupi?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Ukimpata anaekupenda nawe ukampenda basi mnaishi tuu hayo mengine yaziada
 
achana na ujinga ujinga wa sijui kuoa, tafuta pesa kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…