Naombeni matokeo ya darasa la saba jamani, heh!

Naombeni matokeo ya darasa la saba jamani, heh!

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,604

OUR VISION


To be the Centre of Excellence in Quality Education Assessment and Certification.
OUR MISSION

To Provide Fair, Effecient and Effective Educational Assessment.

OUR MOTTO is to serve you better anywhere and everywhere !
Your satisfaction is our pleasure.

Nyie Baraza la Mitihani, Kwa kuzingati kigezo cha tatu ambacho ndio motto wenu kutoka katika website yenu, naombeni matokeo ya darasa la saba 2012 hapa nilipo, nipo kwenye mtandao nasubiri.

Thanks in advance hopping my problem will be solved soon.
 
Mkubwa hawa wezi hawadhubutu kuweka kwenye mtandao!
Naona wamebandika ukutani tu!
 
nenda shule husika au ofisi za kata ya hiyo shule ndo nilivyoambiwa
 
Back
Top Bottom