Naombeni mawasiliano na watu wa Kikuu. Naona wanataka kunidhulumu

Naombeni mawasiliano na watu wa Kikuu. Naona wanataka kunidhulumu

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Za muda huu wakuu,

Kama kichwa kinavojieleza nahitaji kuwasiliana na Kikuu Tanzania kwani Juzi niliamua kununua bidhaa kikuu na nikaamua kulipia kwa M-Pesa Online na hela ikakatwa kama kawaida lakini kwenye mtandao wao inaonesha bidhaa hio sijailipia.

Nikaamua kuanza kuwasiliana nao na nikachukua email ya nimewatumia ujumbe toka juzi na hawajajibu. Huduma yao ya Live Chat nayo nikiwatumia text hawajibu.

Sasa jamani naomba msaada kwa mtu ambae anaweza nisaidia mawasiliano mengine na hawa jamaa wanao onesha nia ya kunidhulumu.
 
Mimi nilishawahi kuagiza sana tu na nilikuwa nalipa kwa mtindo huo huo wa live chat lakini sikuwahi tokewa na tukio la hivyo umeangalia kwenye shipping pale hakuna bidhaa iliopo?
 
Du hawa jamaa sikuwahi kuwatumia, juzi kati hapa niliwatumia kwa bidhaa tatu tofauti ikiwepo simu tarehe 22/9/2019, cha kushangaza bidhaa mbili zimenifikia ndani ya wiki mbili tatu hivi, hadi ninavyoongea simu bado sijapata na inaonyesha hata nchini haijaingia.

Mawasiliano yao ni magumu sana, wana live chati, hapo hadi uweke malalamiko uko yako usumbufu kibao ....akili imechoka sijui nifanye je?
Screenshot_20191021-073320.jpeg
 
Back
Top Bottom