Naombeni mawazo ili niweze kupata mkopo

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Mara baada ya kumaliza kidato cha sita mwaka huu 2014, nililazimika kuomba mkopo kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB ili niweze kuendelea na masomo ya chuo kikuu.

Sikuamini kilichotokea mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa kwani niliku na division four, physics D, math D na chemistry E.

Sikua na jins ilinilazimu kukubali matokeo kwani ndo nilokipata. Kuanzia hapo mawazo ya kuingia chuo kikuu yalifutka.

Kam ilivyoada mungu hamtupi mja wake, wizara ya elimu kwa kushilikiana na chuo kikuu UDOM walitangaza nafasi za kujiunga na diploma ya uwalimu kwa masomo ya sayansi, teknohama na hisabati.

Bila kusahau kwamba bodi ya mikopo yaani HESLB itatoa mokopo kwa wanafunzi wote watakao fanikiwa kujiunga na hiyo diploma.

Nilihisi ni nafasi nzuri kwangu kwani familia yangu isingewsza kumudu gharama za mimi kusoma cozi yoyote hapa Tanzania

Niliomba nafasi hiyo na uwakika wa kupata ni mkubwa ila tatzo ni kwamba ili upate mkopo kwenye program hii ya diploma ni lazma uombe kupitia tovoti yao HESLB.

Na ikumbukwe kwamba mara yakwanza nilishaomba mkopo HESLB kwaajili ya bachelor.

Hapo ndipo utata unapoanzia kwani nikijalibu ku apply kwa mara pili system ya HESLB inajibu , ''we look arledy registered so fight for passwad and log in''

NAOMBA USHAURI WAKO NINI NIFANYE, ILI NIWEZE KUSOMA HII DIPLOMA YA UDOM?
 
Piga simu Heslib zungumza nao usikie maneno kutoka kwao. nadhani wanaweza kabisa kufungua ukurasa mpya kabisa kwa ajili ya mafanikio yako..

+255 22 2669039

Jiunge tu na kakifurushi ka kwenda mitandao yote kisha kong'oli kabisa mwana wane!

Usiogope kuongea nao.
 
Hao jamaa unaweza kupiga simu mpaka ukakata tamaa,
 
thks xana wadau nitafanya hvyo, alf naomba niulize kitu1 nackia hawa jamaa wa heslb ukisubutu kujisomesha mwenyewe kwa kwaka1 utegemee utaomba tena ukiwa mwaka2, hpo ndo hawakupi kabixaa. Je nikweli ipo hvyo?
 
Mkuu mbona kwa hayo matokeo chuo kikuu unapata...hebu jaribu kutafuta guide book ya tcu uisome
 
et kak yng hao heslb watatoa mkopo hata kama uliomba chuo tofauti na udom lakini course hiyo hiyo ?????
 
et kak yng hao heslb watatoa mkopo hata kama uliomba chuo tofauti na udom lakini course hiyo hiyo ?????

Kwa mujibu wa heslb, walisema mkopo wa diploma ni kwa UDOM pekee.
 
Mkuu mbona kwa hayo matokeo chuo kikuu unapata...hebu jaribu kutafuta guide book ya tcu uisome

Accordng to TCU ili upate chuo inabd uwe na atleast D mbili kwa wahtm wa mwaka huu.Ila principal ni C nakuendelea.

Kutokana na maelezo gayo nika aply TCU vyuo vinne tofaut kwa fakati moja2 ya education.
Ila siamin kam nitapa ndoma nafuta plan B mapema.
 
Kaka huna haja ya kuanza diploma na kama huja fanya ap hebu fanya mapema coz hayo matokeo chuo unaenfa coz cutt point zipo hv kwa.matokeo yako ya sahz
D-1
D-1
E-0.5 ambapo totAl cutt point ako ni 2.5 na kuna vyuo vingi unaenda according kwa guief book ya sahiz ila usichague facult zenye ushindani na vyuo pia lakin education hapo unaenda na mkopo unapata ukizingatia walimu wa science.wanatafutwa sanaaaaaaaaaa plz blv in me chuo unapata na utapiga bachelor of science with education just imagine SUA cutt point za veteran medicine wanataka 3 kwa 2.5 sembuse education plz kaka uckate tamaaa.... just go kapige bachelor achana na BRN ya kisenge hii inavuruga watuu tuu ma division yao yamekaa kukatisha tamaaaaaa haina msaada wowote huku advance zaidi ya kutuvuruga hayo ni ya olevel.... plz bro bado nakuombaaaa jaribu kuomba huku huko subiri kwanza
 

Nimesha aply TCU sema sijiamini na matokeo yangu.

UDOM niomba fucult 2 za education
MKWAWA fucult 1 ya edu
DUCE fucult 1 ya edu
alaf mwisho nikawka
MIST mechanical engineering
 
Nimesha aply TCU sema sijiamini na matokeo yangu.

UDOM niomba fucult 2 za education
MKWAWA fucult 1 ya edu
DUCE fucult 1 ya edu
alaf mwisho nikawka
MIST mechanical engineering
Kulingana na utata Wa point zako usiweke vyuo vya serikali peke yake,weka na cha private hata kimoja mfano St.joseph university kwani nao wanazo kozi za sayansi za education.

Fanya hivyo ili kupunguza competition iliyopo kwenye gov't university.

Jamaa hapo juu kakushauri vizuri utapata chuo na ukipata chuo tu jua mkopo pia utapata kama utachaguliwa sayansi.

Achana na diproma utajuta,kwani unakopeshwa kama degree na ukianza kazi utakatwa, so kumbuka mshahara Wa diproma ni mdogo ukilinganisha na degree ktk elimu kwa anaeanza kazi.
 

Eti katka kutafta kazi haitonisumbua kwakua notakua nimesoma chuo cha private?
 
Before help TEKNOHAMA what is this?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…