Mara baada ya kumaliza kidato cha sita mwaka huu 2014, nililazimika kuomba mkopo kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB ili niweze kuendelea na masomo ya chuo kikuu.
Sikuamini kilichotokea mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa kwani niliku na division four, physics D, math D na chemistry E.
Sikua na jins ilinilazimu kukubali matokeo kwani ndo nilokipata. Kuanzia hapo mawazo ya kuingia chuo kikuu yalifutka.
Kam ilivyoada mungu hamtupi mja wake, wizara ya elimu kwa kushilikiana na chuo kikuu UDOM walitangaza nafasi za kujiunga na diploma ya uwalimu kwa masomo ya sayansi, teknohama na hisabati.
Bila kusahau kwamba bodi ya mikopo yaani HESLB itatoa mokopo kwa wanafunzi wote watakao fanikiwa kujiunga na hiyo diploma.
Nilihisi ni nafasi nzuri kwangu kwani familia yangu isingewsza kumudu gharama za mimi kusoma cozi yoyote hapa Tanzania
Niliomba nafasi hiyo na uwakika wa kupata ni mkubwa ila tatzo ni kwamba ili upate mkopo kwenye program hii ya diploma ni lazma uombe kupitia tovoti yao HESLB.
Na ikumbukwe kwamba mara yakwanza nilishaomba mkopo HESLB kwaajili ya bachelor.
Hapo ndipo utata unapoanzia kwani nikijalibu ku apply kwa mara pili system ya HESLB inajibu , ''we look arledy registered so fight for passwad and log in''
NAOMBA USHAURI WAKO NINI NIFANYE, ILI NIWEZE KUSOMA HII DIPLOMA YA UDOM?