mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Nina bachelor degree mkuuKamwene...
Kwa nini unataka kusomea Masters in Law?
Nina bachelor degree mkuu
Masters Degree itaniwezesha kujoin PHD ambapo nitatumia nafasi hiyo kusoma na Law school,Ya fani gani? Kama ni ya sheria, ushasoma na kuhitimu Law School na hivyo kusajiliwa kama wakili msomi?
Kama bado: Achana na Masters. Nenda TLS kasome usajiliwe.
Kama tayari: Kitu gani utakachosoma Masters ya sheria utakachojiongeza nacho ambacho hutakipata usipoenda kukisoma?
Hata ukiwa na PhD, usipokuwa na Law School, wewe siyo Wakili Msomi; nadhani watambua hilo.
Kusoma PhD siyo lazima uwe na Masters. Kwa hiyo wewe omba PhD moja kwa moja.
Best 34 Legal Studies PhD Programmes in United States 2020 - PhDportal.com
Fully Funded JD and PhD Programs in Law | ProFellow
United States
Maajabu..
phd bila mastersKipi kikustaajabisho ndugu?
phd bila masters
huo utaratibu mpaka nje Labda ... na masters bila BSc asee nieleweshe kidogoMbona ya kawaida tu.
Vyuo vingi vya nje vinapokea wanafunzi wa PhD watokeao BSc.
Usijilimit kwa mawazo ya kizamani kwamba PhD ni mpaka uwe na Masters; au Masters ni mpaka uwe na bachelor's degrees.
Mshahara mkubwa ndio unatafutwa na sifa ya uteuzi.Ya fani gani? Kama ni ya sheria, ushasoma na kuhitimu Law School na hivyo kusajiliwa kama wakili msomi?
Kama bado: Achana na Masters. Nenda TLS kasome usajiliwe.
Kama tayari: Kitu gani utakachosoma Masters ya sheria utakachojiongeza nacho ambacho hutakipata usipoenda kukisoma?