Shalis, heri nusu shari kuliko shari kamili. Leo hii unaona hiyo nyumba nanyi mna haki nayo. Ipo siku ninyi watoto mtakuja toana macho nani iwe yake. Maana wote mtakuwa watu wazima na kila mmoja ataona anastahili kuliko mwenzie. Hiyo nyumba ni ya wazazi wenu wana haki ya kufanya uamuzi wautako juu yake. Kama mmeweza kusoma hata kuwasomesha wadogo zenu basi huo ni urithi wenu. Kama baada ya kuuzwa nyumba Mama ataamua kutafuta kwake kwa kutumia fungu lake, well and good. Otherwise mjiandae kumbeba na yeye. Na pengine ameridhia hilo kwa kujua mnapo pa kumtunzia.
Asante liz nafahamu kuwa wanatupenda,
mama kama nikivyosema tumeanzakujenga nyumba kwingine na ipo kwenye finishing ndogondogo tu so anytime atahamia
but umenishauri vyema asnte sana
Sidhani kama wazazi hawawajali, mara nyingine wazazi hujali mno watoto kiasi kwamba watoto hawajitumi kutafuta chao, huku ndiko kutowajali
watoto.