naombeni mawazo yenu

naombeni mawazo yenu

...........ya nini malumbano, ya nini maneno ooooooh,
najiweka pembeni naepusha msongamano oooh,
bora nitulieee, ningoje changu na mie eeeeeeeeeeh!!!

Kaka B katumia busara sana, kujiweka pembeni!
Inaonyesha kaka A, hajiamini isitoshe ni mwoga!!

Shosti nae aonyeshe msimamo wake, au ndo zile sitaki nataka?

Huyo naye hajui analolitaka. Kama B anacheza offside trick katika mazingira ya hatari sana. Believe me, akimkosa tu huyo dada, it will cost him a great fortune!
 
Duh huyo shosti wako ana kazi, na anaonekana anafurahia sana wanavyoshindana hao mafahari wawili, mwambie tu ajue kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja, kama anataka kuwa na uhusiano na mmoja wao ajihakikishie ni yupi na awe muwazi, asijiingize kwenye uhusiano na A kwa kumuonea huruma, atakuja jutia badae
 
Dark City hilo pia linawezekana ndio maana nikasema huyo dada nayeye hatujui lengo lake ni nini,minimeshawahi kuona visa vya hivo bana.Mchina sio mtu
Ukisikia wamewekeana dau ujue ni wasanii. Linapokuja suala la kupigania wife materials sidhani kama kuna compromise hapo!
 
Huyo naye hajui analolitaka. Kama B anacheza offside trick katika mazingira ya hatari sana. Believe me, akimkosa tu huyo dada, it will cost him a great fortune!

Ha ha ha, Kaka B aacheza offide trick kwa vile kashaona mshika kibendela yuko upande wake lol.
 
Ha ha ha, Kaka B aacheza offide trick kwa vile kashaona mshika kibendela yuko upande wake lol.

Ndo maana nikasema kuwa ni mchezo wa hatari sana kwani kibendera akipitiwa na refa akauchuna anaweza kumpatia nafasi mshikaji kipika hatriki!

Aingie ulingoni ache ili kama anafungwa basi afunge kihalali. Sasa kwa vile anajua anapendwa sana anataka dada ahangaike peke yake. Dada pia anaweza kumwona kama mzugaji na kuamua kuingia mitini na Mr A ambaye anaonesha ana uchu wa magoli. Kama anapenda binti basi ampe msaada wapangue hiyo kesi ili watese kwa amani. Katika issue yangu niliyoeleza hapo juu dada wa watu nilimpa sapoti hadi tukashinda kesi. Vitu vizuri haviji vyenyewe kwenye silver plate. The guy needs to show some vigor and life!
 
Naomba jibu kwanza ili niondoe doubts.
Je kaka B anapesa?
Isije ikawa the otherway round, kuwa bibie alimtumia kaka A kumtambulisha kwa kaka B.
 
mi nasema kuwa uyo msichana atafute mda na amueleze kaka B kuhusu urafiki wake na kaka A na kwamba hana
uhusiano naye, ila ana hisia na kaka B ili aone kaka B atachukua hatua gani
 
we always want what we cant have

its a human nature

cha kufanya hapo ni kumkwepa a kabisa

mpaka b aone kuwa mlango upo wazi

halafu aanze yeye kumtafuta b kwa outings
 
Jamani kuna mtu kanionea Asha D?

Mkimwona mwambieni babu alikuwa anamtafuta eti. Hajamsalima tangu ijumaa.

Afu mwambieni babu amemwagiza amshauri Cheusimangala kuhusu shosti wake na makaka A na B.

Ripoti aniletee huku chumbani, nilikolala.
 
Babu wa Lizzy... (na wangu.. ingawa kijana wako anagwaya...lol)
Heshima kwako Mkuu... Najua mimi ni mtu mdogo saana kujibu ili
ila sababu ni pacha wa Asha D naamini kua hutakwazika kuleta ujumbe
moja kwa moja....

Kwanza anatuma salamu saaana
Pili anakuomba msamaha kwa kuondoka gafla..
tena bila taarifa kwa babu
Tatu anaomba muweze mpokea Ashadii kwa mikono
miwili maana tupo tumbo moja mama mbali mbali...

Ni hayo tu mkuu, hope usingizi hujakupitia...
 
Mahusiano ya mapenzi lazima yaendeshwe kwa misingi ya mapenzi na si kwa misingi mingine yoyote.
sio pesa, umaarufu, uzuri n.k. kama mahusiano yatakua chini ya misingi tofauti na mapenzi hakika hayatadumu.
 
Babu wa Lizzy... (na wangu.. ingawa kijana wako anagwaya...lol)
Heshima kwako Mkuu... Najua mimi ni mtu mdogo saana kujibu ili
ila sababu ni pacha wa Asha D naamini kua hutakwazika kuleta ujumbe
moja kwa moja....

Kwanza anatuma salamu saaana
Pili anakuomba msamaha kwa kuondoka gafla..
tena bila taarifa kwa babu
Tatu anaomba muweze mpokea Ashadii kwa mikono
miwili maana tupo tumbo moja mama mbali mbali...

Ni hayo tu mkuu, hope usingizi hujakupitia...

Ashadii.............. Asha D........:sleepy::sleepy:

Hii ni coincidence au babu anazeeka vibaya?😛eep:😛eep:

Anyway, mwambie wakati babu anaendelea kufanya upembuzi yakinifu, salamu zake nimezipokea kwa mikono yote.....Na kwa kuwa umesema we ni pacha wake (damn, sikuwa na taarifa wa sikujua ule ujauzito wa mwanangu ungeweza kutoa mapacha)...hebu msaidie shosti wa cheusie namna ya kuachana na A na kuhamia B....si unajua maisha lazima yasonge mbele?

Kwa kuwa wewe bado sijakufanyia tambiko, ripoti niletee hapa barazani....ukiwa na mkongojo (si wa kichina) na ugoro...... Nipe namba za simu za Asha D tafazali.
 
Mwambie acheze kwa step amchague mmoja au wote awatose.

Anaweza jikuta anawagonganisha kwa kale kamsemo ngoja nimuonjeshe mara moja.

Mwambie aangalie asije iingia kwenye gogoro kubwa ambalo linaweza hatarisha maisha yake

Vile vile awe mstaarabu hajui kama hao jamaa wanaambiana au lah maana ni marafiki.

Mwisho wa siku anaweza watengenisha makaka hao kwa ajili ya penzi la huyo shostito wako
 
Ashadii.............. Asha D........:sleepy::sleepy:

Hii ni coincidence au babu anazeeka vibaya?😛eep:😛eep:

Anyway, mwambie wakati babu anaendelea kufanya upembuzi yakinifu, salamu zake nimezipokea kwa mikono yote.....Na kwa kuwa umesema we ni pacha wake (damn, sikuwa na taarifa wa sikujua ule ujauzito wa mwanangu ungeweza kutoa mapacha)...hebu msaidie shosti wa cheusie namna ya kuachana na A na kuhamia B....si unajua maisha lazima yasonge mbele?

Kwa kuwa wewe bado sijakufanyia tambiko, ripoti niletee hapa barazani....ukiwa na mkongojo (si wa kichina) na ugoro...... Nipe namba za simu za Asha D tafazali.

Sio coinciedence kabisa... ulivyoelewa that is the way it is....

Alafu babu mbona nimepost kuhusiana na shosti wa cheusi... au hujapenda...lol
Ule ujauzito uliku kweli wa mtoto mmoja, ila tu mtoto ka evolve from Asha D to Ashadii...

Naomba matambiko yafanye haraka, na ripoti naleta haraka saaana..
na namba za simu nisha pm...lol
 
Wewe Asha,

Did u ever think kwamba simba na chui wanaweza kukaa pamoja na kukubaliana nani amle swala hata kama hawajamuua? Forget about that.

Wakikaa pamoja basi ujue matokeo ya hiyo paradox yatakuwa makubwa kuliko paradox yenyewe!
Mara moja inaweza kutokea lolz just kiddin
 
we always want what we cant have

its a human nature

cha kufanya hapo ni kumkwepa a kabisa

mpaka b aone kuwa mlango upo wazi

halafu aanze yeye kumtafuta b kwa outings
The Boss utashangaa hii ishu kama haijala upande wa huyu shosti, maana naona hadi sasa anaenda kupiga penati huku mpira ukiwa hauna pumzi
 
Back
Top Bottom