naombeni mawazo yenu

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
426
Nilifel form four nimejitahidi kurudia mtihan kama private candidate mara2 nimeshindwa nilikua naomba mawazo yenu.....
Nawaza niende nurse one year course private nikimaliza nijiunge na mafunzo ya TFDA ili angalau niweze kujiajir hata nikiweza nifungue duka la madawa naomben mawazo yenu pia kwa anaejua hivi vyuo vilipo anisaidie kunijulisha.
 
Pole sana. Sio kila mtu anaweza kufika point fulani kwa njia moja, unaweza kuzunguka na ukakawia ila ukafika.

soma nursing. Sina hakika vyuo vipi utapata ila kwa kuanzia nenda hospitali ya wilaya ama ya mkoa ulipo, omba kumuona afisa uajiri na utapata maelekezo mazuri tu.

kila la kheri
 
Pole sana kwa yaliyo kukuta lakn kusomea nursing lazma kwanza uwe na D tatu katika mchepuo wa PCB
Vyuo vipo kibao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…