Naombeni mawazo yenu

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
132
Reaction score
64
Wependwa watu wa mungu habarini za asbh ,ni yangu matumain kuwa mungu kawaamusha salam cku hii,

Kuna hali imenitokea ndg zangu takrbani mwezi 1 na zaid, nimekuwa nikiwashwa mwili sana hasa kuanzia kiuno kushuka chini hasa kwenye mapaja mpk miguuni nitumie dawa gani kutibu tatizo hili? naomben mawazo yenu ya kidaktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…