Naombeni Mbinu za Kuishi na Mtu Mwenye Roho Mbaya (ROHO YA KWANINI)

Kumbe rafiki! Basi tafuta rafiki mwingine!
 
Hlw JF Nimuda mrefu sasa nimekuwa nikiishi na rafiki mwenye roho mbaya A.K.A Roho ya kwanini...Kila ninapo pata mafanikio fulani yeye hunichunia...NIFANYEJE???????????

ipake rangi ........
 
Unapomchukia adui yako, haisaidii, sana sana unampa nguvu dhidi yako, dhidi ya usingizi wako, dhidi ya hamu yako ya kula, dhidi ya msukumo wako wa damu, dhidi ya afya yako, na dhidi ya furaha yako.

Adui yako anafurahi sana akibaini namna anavyokutesa na kukuumiza. Chuki yako dhidi yake haimuumizi kamwe, bali hugeuza maisha yako kuwa jehanamu ya kutosha.

Hii ina maana gani?

Ni kwamba, kamwe usimchukie mtu, kwani chuki hizo hazimuumizi huyo unayemchukia bali hukuumiza wewe mwenyewe.

Ndio maana husemwa, Adui mpende tu!
 
"Nimewekeza miaka kibao kufika hapa nlipo mwana sikuzaliwa kwenye mali ilifanya niangaike sana,sio mambo safi pua zangu zinanusa mkwanja hustler kama ali scooper natimba kila kiwanja,eii I'm the magnifical napiga kazi za hatari siogopi hata mkisema yote nshasikia tayari maneno hayawezi niua yanafanya niwe ngangari nasema inshallah kwa kila kheri na shari,wengi mmefeli mnatamani maisha yangu mnatamani mngekua mimi"

Sikiliza wimbo wa Mwana FA - Msiache kuongea:: Utapata Ushauri
 

V'sana. Chukukua tano.
 
Wanyalu wanajua, watafute watakujuza. Na kama mpo jamvini msaidieni ili nasi tuelimike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…