Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hlw JF Nimuda mrefu sasa nimekuwa nikiishi na rafiki mwenye roho mbaya A.K.A Roho ya kwanini...Kila ninapo pata mafanikio fulani yeye hunichunia...NIFANYEJE???????????
Dawa yake we fanya maendeleo makusudi hakikisha kila siku una under go +ve development rafiki kama huyo ni mzuri kwa maendeleo yako coz muda wote anakufanya uwe makini kwa kila ufanyalo ili usimpe nafasi ya kukucheka.KWA KUENDELEA KWAKO WATU WA NAMNA HII HUWA WANAUMIA SANA .
NB:USIFANYE LIGI NAE KWENYE MAMBO YA KIPUUZI,PIA JIZUIE KUKASIRIKA we mfanye kama FUTUHI WAKO.