BABA BOMBASTIC
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 349
- 570
Lazima nijiteteHalafu familia yake itakula kwako?
Mwanga mkubwa wewe!
"MSHINDANI WAKO NI GENIUS SANA"Habari wakuu.
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya mpinzani wangu,maana tupo kwenye vita hii dunia ni uwanja wa vita hata mwenyezi mungu alisema tujipambanie..
Naombeni mbinu wakuu
Anashusha bei kwa hiyo wateja wote wameamia kwake nataka nishushe mara 2 yake"MSHINDANI WAKO NI GENIUS SANA"
NB:Washindi,shabaha yao kushinda,Wanaoshindwa,shabana yao Washindi.
Naam mkuuBiashara ina sehemu 3 Muhimu
Naam mkuu
Sitaki kuloga kabisa nataka mbinu za kawaidaMloge awe taila
Kwa hakika mkuuBiashara ina sehemu 3 Muhimu:
1. Excellence kwenye Huduma /Bidhaa
2. Kuwa aggressive.
3. Risking taking.
Baada ya hayo yote, this one is a game changer:
- Mambo yote uyaonayo Katika ulimwengu unaoonekana yameazia katima ulimwengu usiionekana; Hizi battles zote humalizikia kwenye ulimwengu wa roho.
Duniani Kuna watu wa aina 3:
1. Wanaomtegemea Mungu.
2. Waliouza nafsi zao kwa shetani.
3. Wataabikaji ( Kama wewe )
#Nakushauri uchague Moja, 2 na 3 ni ngumu sana, na kamwe don't fall into number 2, ni mbaya sana.
Narudia "NSHINDANI WAKO NI GENIUS SANA"Anashusha bei kwa hiyo wateja wote wameamia kwake nataka nishushe mara 2 yake
Khaaaa nitakunywakunywa sumu ufe mkuu, hutamuona tena mpinzani wako milele
Toa huduma bora zaidi ya unayeona ni mpinzani wako.Habari wakuu.
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya mpinzani wangu,maana tupo kwenye vita hii dunia ni uwanja wa vita hata mwenyezi mungu alisema tujipambanie..
Naombeni mbinu wakuu
Narudia tena "MSHINDANI WAKO NI GENIUS SANA"Anashusha bei kwa hiyo wateja wote wameamia kwake nataka nishushe mara 2 yake