Naombeni mbinu za kumzidi kibiashara ya mpinzani wako

Habari wakuu.

Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya mpinzani wangu,maana tupo kwenye vita hii dunia ni uwanja wa vita hata mwenyezi mungu alisema tujipambanie..
Naombeni mbinu wakuu
Nasubiri na mimi mkuu maana muda nasoma comment namwona mshindani wangu kasimama nje anaitawateja yaani anaanza kuwachekea wapo ngʻambo huko majitu mengine sijui yapoje
 
Khaaaa huyu naye yupo hivi hivi yani na kichwa lake kipara
 
Habari wakuu.

Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya mpinzani wangu,maana tupo kwenye vita hii dunia ni uwanja wa vita hata mwenyezi mungu alisema tujipambanie..
Naombeni mbinu wakuu
biashara na huduma na kauri.
Pia ushindan wa biashara ni punguzo la bei kidogo
 
Kumshinda mpinzani wako unatakiwa usishindane nae unatakiwa USHINDANE NA WEWE mwenyewe i mean improve ki huduma,bidhaa na kimbinu then automatically utakuwa ume mu win mpinzani wako.
 
Kumshinda mpinzani wako unatakiwa usishindane nae unatakiwa USHINDANE NA WEWE mwenyewe i mean improve ki huduma,bidhaa na kimbinu then automatically utakuwa ume mu win mpinzani wako
 
Kumshinda mpinzani wako unatakiwa usishindane nae unatakiwa USHINDANE NA WEWE mwenyewe i mean improve ki huduma,bidhaa na kimbinu then automatically utakuwa ume mu win mpinzani wako.
Kivipi mkuu
 
Back
Top Bottom