Black manta
Member
- Aug 10, 2025
- 96
- 135
Fwata nyayo uchan matrakro kisha ufeHabari wakuu.
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya mpinzani wangu,maana tupo kwenye vita hii dunia ni uwanja wa vita hata mwenyezi mungu alisema tujipambanie..
Naombeni mbinu wakuu
Biashara ni watu na hao watu wanahitaji huduma nzuri tena ikiwezekana kwa bei poaHabari wakuu.
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya mpinzani wangu,maana tupo kwenye vita hii dunia ni uwanja wa vita hata mwenyezi mungu alisema tujipambanie..
Naombeni mbinu wakuu
DaaFwata nyayo uchan matrakro kisha ufe
OkeyBiashara ni watu na hao watu wanahitaji huduma nzuri tena ikiwezekana kwa bei poa
Kua mjanja, ongeza manjonjo apo ofisini.Ni biashara ya movies
Kwa maana hiyo ni biashara ya library.Ni biashara ya movies
Safi kiongoziKwa maana hiyo ni biashara ya library.
1. Hakikisha una movie kali na angavu
2. Chunguza aina ya wateja wako, kama ni hovyo inabidi na wewe uwe wa hovyo, akija dukani unatumia lugha ya kumteka ili kesho aje tena. Kama ni watu wastaarabu uwe mstaarabu kuzidi wao.
3. Boresha ofisi, ikiwemo mabango pamoja na mazingira yawe rafiki kwa wateja.
4. Uwe fundi, mtaalam kiasi kwamba mteja akija na shida yake msaidie kwa uhakika na free kabisa. Atakukumbuka.
5. Bidhaa zisikosekane dukani.
Hadi hapo umeshafeli.Habari wakuu.
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya mpinzani wangu,maana tupo kwenye vita hii dunia ni uwanja wa vita hata mwenyezi mungu alisema tujipambanie..
Naombeni mbinu wakuu
No business grows sustainably by pulling others down.Habari wakuu.