Sasa hivi corona virus mchongo umesimama.
Lakini mbona kuna post huwaga nawekaga humu natafuta vijana siwaonagi? Wengine ukiwaambia kuendesha baskeli anaingia mitini kabisaaa.
Vitu ulivyokuwa unauza ni kama vitu vipi mkuu
costa wanatoa 90 , na sasa level seats wamepunguziwa elfu 10 tu ...(jana nikiwa naelekea Tandika nimepiga sana story na dereva) level seats na anapelekea 80
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi hivi pikipiki Aina ya SANLG kwa Sasa shilingi ngapi sokoni
GEMO natafuta hela ya kula na ya tahadhari endapo nitaumwa. Sina mtaji mkubwa, nina 20,000 tu hapa tena kesho itapungua nikinunua chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijijini arudi kufanya nini.Mkuu hiyo 20000tsh ifanye kama nauli yakurudi kijijini
Sent using IPhone X
Njoo tufanye mazoezi ya kuendesha baskeli ColeNgoja nije chap Mkuu amu [emoji1545]
Bro, huelewi biashara mfano machungwa ya tanga kwa arusha moja ni 50-70 kwa jumla. Akinunua machungwa 250 ni 12,500-17,500doh unatafuta mchongo wa 15K per day kwa mtaji wa 20k, brother try another figure lamda 1.5k [emoji23][emoji23][emoji23]
costa wanatoa 90 , na sasa level seats wamepunguziwa elfu 10 tu ...(jana nikiwa naelekea Tandika nimepiga sana story na dereva) level seats na anapelekea 80
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahuri wangu ni kwamba, ili upate hiyo 15k na zaidi kwa muda mfupi,Wazee niende moja kwa moja kwenye mada. Najishughulisha na kuuza used materials, furniture, electronics nk ( kwa asilimia kubwa Im a middleman)
Lakini hizi siku mambo ngumu asee[emoji19]. Naombeni mchongo wowote, fursa, biashara yoyote nipate angalau 15k (kula na emergency)
Ni hayo tu. PM yangu iko wazi
==========
We ulitaka iwe baada ya miaka mingapi ? wastani ni miaka 2 hadi mitatu kwa biashara yeyote ile ya gari , iwe bus , iwe lorry za mizigo iwe dalala wastani ni huo huoBasi wamiliki wa magari wanapata hasara yani ninunue gari costa Milion 35 sijui arobain plus maushuru sijui bima sijui trafic sticker na service nifanye alafu nikusanye 80 per day means kwa mwezi 2,400,000 yani 28,800,000 kwa mwaka huu ni ungese kabisa asee apo pay back period ni baada ya miaka 2 au 3
Sent from my iPhone using JamiiForums
tupeane connection bas wap huko kuendesha baiskel unalipwa? amuNjoo tufanye mazoezi ya kuendesha baskeli Cole
Nimependa comment yako naomba niongezee kidogo....Ishu yako inategemea mambo mawili makubwa
1.Mazingira uliyopo
2.Mtaji
Mf ukinunua boda boda 2 ukawapa vijana kwa siku utapata 14,000/= boda 2 kuzinunua ni 4.8m -TVS
Ukifungua saloon 2 za kiume kwa 1.5m kwa siku utapewa 20,000/= kila saloon elfu 10.
Ukiwa na vijana watatu wa kuuza mayai...ukanunua baiskeli 2 kwa 120,000 kila moja na kuwa na mtaji wa 350,000/= sawa na trei 50 kwa siku kila trei ukapaga kiwango cha kawaida cha sh 1000 utapata elfu 50 vijana watatu posho plus msosi ni 15,000/= unabaki na 15,000/=
Ukinunua bajaj kwa 7.5m kwa siku utapata 15,000 unayoitaka
Ukinunua nisan au Costa kwa siku utapata around 40k to 50k
Swali hapo la muhimu Je una mtaji wa sh ngapi ?
Upo tayari kiasi gani kupambana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina ushuhuda kwa hiliEndelea na udalali usikate tamaa kuwa mjanja ingia Makumbusho kajimix na wauza simu pale. Dalali Makumbusho wa simu tu wa kawaida hakosi 50k kwa siku bila mtaji wowote. Mtaji wako ni hio smartphone yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina ushuhuda kwa hili
Niliweza kuishi kwa zaidi ya mwaka kwa kazi hii, yaani ilikuwaga sim na Mimi Mimi na sim,
Miamala ya tigo pesa ilikuwa inaingia tu, mpaka nilipopata mtaji nikasepa
Tatizo connectionAcha tu vijana hatujui tena saiv kupata wateja wa bidhaa ni rahisi mno na hii mitandao yetu. Bidhaa zipo nyingi mno kuna magari, tv, simu, nyumba za kupanga, nguo, etcetcetc yaani udalali una hela balaa wewe kuwa mjanja tu hukosi 50k kwa siku