Naombeni Mchongo

Joined
Apr 12, 2023
Posts
10
Reaction score
14
Habari za Asubuhi watu wa MUNGU

Naomba kwa aliye kwenye Mchongo wa kazi ambao ni rahisi kuingiza Kibarua mwengine, Tafadhali naomba anivute huko.

Niko kwenye kipindi kigumu ever.

NB: KAZI yoyote halali Niko tayari kuifanya.
Makazi yangu ni DSM
 
Nimesoma ID yako, nikaishia kusikitika tu..!!
 
Habari za Asubuhi watu wa MUNGU

Naomba kwa aliye kwenye Mchongo wa kazi ambao ni rahisi kuingiza Kibarua mwengine, Tafadhali naomba anivute huko.

Niko kwenye kipindi kigumu ever.

NB: KAZI yoyote halali Niko tayari kuifanya.
Makazi yangu ni DSM
Kama unaweza kupiga jembe kuna kazi ya muda mfupi, kulimia matuta sehemu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…