Naombeni Mkopo plizzz

Naombeni Mkopo plizzz

Nina Tv inch 24 Sony na Fridge ndogo
Naombeni mkopo wa tshs 250,000\=
Mpaka tarehe 15/12\2012
Alie tayari tuwasiliane plizzzz...

Kwa aina hiyo ya mkopo nenda Benki ya Wanawake Tanzania (TWB). Wao wana utaratibu wa mikopo ya vikundi. Unaweza ukapata mpaka milioni moja bila kuweka dhamana yoyote. Kinachohitajika ni wewe kujiunga katika kikundi cha watu watano watano.

Natumaini wewe na wenzio mnaweza kutumia fursa hii adimu kujikomboa kiuchumi. Tafadhali zingatia kuwa ukipewa mkopo uulipe ili wewe uweze kukua kibiashara.
 
Back
Top Bottom