Naombeni mkopo wa laki 7

Status
Not open for further replies.

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi hicho anisaidie dhamana ni simu smartphone, na vitambulisho vyangu pamoja na vyeti. Napatikana arusha.
 
kwa nini usiuze hiyo smart phone ukajikopesha.. na baadae ukiwa unajilipa.. unanua smart phone ingine
Mkuu sijapata mteja nimejarib sana kutafuta ...na thaman yake ni laki 3 tu.
 
ni nani anakubali kukopesha laki 7 kwa dhamana ya simu ya laki 3.... kwa uhalisia wa maisha unaoujua wewe???

Mkuu sijapata mteja nimejarib sana kutafuta ...na thaman yake ni laki 3 tu.
 
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi hicho anisaidie.
Dhamana ni simu smartphone, na vitambulisho vyangu pamoja na vyeti. Napatikana arusha.
una umri gani?
 
Boss! Pole sana Kwa kukumbwa na shida ya fedha.
Ila nakushauri tu, kiukweli humu JF huwezi pata huo mkopo kirahisi kiasi hicho, cha msingi nenda ukakope Kwa watu wako wa karibu, ndugu Jamaa na marafiki na watu wowote wanaokuzunguka ambao una uhakika kuwa watakupa msaada.

Hata ungekua ni wewe ni ngumu sana tena sana kumkopesha mtu JF Kwa staili hii.
Pole sana ndugu yangu, endelea kupambana utafanikiwa
 
Asante ndugu yangu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…