Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijapata mteja nimejarib sana kutafuta ...na thaman yake ni laki 3 tu.
una umri gani?Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi hicho anisaidie.
Dhamana ni simu smartphone, na vitambulisho vyangu pamoja na vyeti. Napatikana arusha.
JiungeWasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi hicho anisaidie dhamana ni simu smartphone, na vitambulisho vyangu pamoja na vyeti. Napatikana arusha.
nini hii
Arusha upo sehemu ganMkuu sijapata mteja nimejarib sana kutafuta ...na thaman yake ni laki 3 tu.
Asante ndugu yanguBoss! Pole sana Kwa kukumbwa na shida ya fedha.
Ila nakushauri tu, kiukweli humu JF huwezi pata huo mkopo kirahisi kiasi hicho, cha msingi nenda ukakope Kwa watu wako wa karibu, ndugu Jamaa na marafiki na watu wowote wanaokuzunguka ambao una uhakika kuwa watakupa msaada.
Hata ungekua ni wewe ni ngumu sana tena sana kumkopesha mtu JF Kwa staili hii.
Pole sana ndugu yangu, endelea kupambana utafanikiwa
aaahhVyuma vimekaza kweli kweli
Ukimtukana itasaidia nini au sababu una pesa sanahivi ninani anaetoa pesa kirahisi hivi kweli watu wajinga sana wanakuza blogs za watu bila wao kujua