Naombeni mniambie umri wa Marioo

Naombeni mniambie umri wa Marioo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Jamani ndugu zangu natamani kujua msanii marioo Ana umri gani maana Wikipedia hawajaandika kazaliwa mwaka gani...Kuna jamaa tunabishana naye anadai marioo Ana miaka 23 au 22 au 21..me nakataa nikimuona naona Yuko above 25.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ANAYE MGEGEDAGA MIMI MARS kamuulize yeye mywenyewe kwani una lipwa ?
 
Back
Top Bottom