ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Acha masihara Basi mkuu nakuheshimu Sana sipendi tuleteane lomoni we mama aminaYuko sawa na Afande Sele ana miaka 63
Wamempita Dully Sykes miaka 2.Acha masihara Basi mkuu nakuheshimu Sana sipendi tuleteane lomoni we mama amina
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nijue Ni mkubwa au mdogoSorry umri wake mnataka kuufanyia nini? Au comparison btn success and age?
Simba nzee KUBWA na meno makali, wa kwanza kwa akili, japo sio Tajiri,Yuko sawa na Afande Sele ana miaka 63
Marioo ni mzee sema kulialia kwake kunamrudisha utotoJamani ndugu zangu natamani kujua msanii marioo Ana umri gani maana Wikipedia hawajaandika kazaliwa mwaka gani...Kuna jamaa tunabishana naye anadai marioo Ana miaka 23 au 22 au 21..me nakataa nikimuona naona Yuko above 25.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka umri wa marioo ufungie mahesabu???!!,[emoji23] (Natania)
Tafuta helaWe pumbavu huo muda wa kufuatilia mambo ya kijinga utaujutia.. mwanaume mzima upo bize na ujinga ujinga tu!