Naombeni mniambie umri wa Marioo

We jamaa unapata wapi muda wa mambo kama haya!!
 
Majibu yaliyotolewa hapa hayaoneshi kukua kwa afya ya akili ya watoa majibu.

Haya sio majibu mazuri kwa afya ya JF pia.

Huwezi kujua muuliza swali yuko wapi na ameona pa kupatia jibu ni hapa.

Members mnapaswa kuweka hekima kabla hujatumia vidole vyako kumjibu mwenzako mwenye kiu ya jibu.


Kuna mmoja aliyesema muuliza swali afuatilie mahojiano kati ya Ayotv na Marioo. Nampongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…