Usitume utapigwa... Kuna shuhuda nyingi humu kuhusiana na huo utapeli.Nimeona tangazo kwenye group flani la watsapp la fani tuliyosomea,
Sawa kabisasikumtumia nimeshtukia mchezo
duh bora nimeshtuka mapema sijamtumiaUmeliwa jamaa. Maana yake anatumia simu yako kama yeye ndo anamiliki.
OTP =one time password.
Maana yake amefanya changes huko sasa hiyo ndo password ya mwisho kuthibitisha kama niwewe ndo unafanya changes
Kunawengine wanasema wanaunga vifurushi vya mwezi au miez kadhaa mpka mwaka, nliwauliza Nan ana access ya kuniunga?? Hyo mtu akanijuib mtu wa mtandao husika, Bei zao si haba, ila nilista tu kukubali nikajua naweza kupigwa,siijamtumia chochote zaidi ya namba ya simu tu